Friday, April 8, 2011

ZAO LA KAHAWA MKOANI MBEYA

 Hali ya hewa nzuri yenye ubaridi huko Mbeya vijijini kuna mashamba ya kahawa.
 Shamba la Kahawa huko Mbozi
 Kahawa ikiwa katika hali ya kuanza kuiva.
 Mkulima akikoboa(Pulping) kahawa ya matunda baada ya kuchuma.
 Wakiwa katika kusafisha kahawa na kuokota kahawa isiyokobolewa Mbeya vijijini.
 Wafanyakazi wakichambua kwa kuokota kahawa zisizofaa(Mbuni)
Kahawa ikiwa kwenye madaraja(Grade) yake tayari kwa uonjaji(Liquoring) katika kiwanda huko Mbozi.

BAADHI YA VIVUTIO VYA UTALII KATIKA HIFADHI YA MILIMA YA UDZUNGWA.

 Halli ya hewa nzuri yenye unyevu katika hifadhi hii
 Maporomoko madogo ya milima Udzungwa
 Hifadhi maalum ya kufugia vyura wa kihansi ndani ya Hifadhi
 Wanyama wa kila aina na wenye kuvutia wanapatikana katika hifadhi hii.
 Nyani na Ngedere wa aina hii upatikana Tanzania pekee ndan ya Udzungwa.
 Camp sites na Rest House nzuri ni moja ya vivutio ndani ya milima Udzungwa





MAKOCHA WA TANZANIA NA CAMEROON WATAMBIANA KWENYE MECHI YA KESHO U23

 Kocha wa Timu ya Cameroon na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakizungumza na waandishi wa habari jana.
 Golikipa Shaban Kado akiwa na kocha wa timu ya vijana U23 Jamhuri Kihwelo katika mkutano na waandishi wa habari.
 Jamhuri Kihwelo akisalimiana na kutambiana na kocha wa timu ya Cameroon.
Hapa wakikumbatiana mara baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari na kuonesha ishara ya mchezo wa kiungwana hapo kesho.

YANGA HIYOOOOOOOOO KWENYE MBIO ZA UBINGWA WA BARA!!

Timu ya soka ya Yanga jana imefanikiwa kushika uongozi wa ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kuifunga timu ya Afrika Lyon ya jijini Dar es Salaam kwa magoli 3-1.
Mchezaji Idd Mbaga ndiye alikuwa shujaa kwa upande wa Yanga Baada ya kuifungia timu hiyo magoli mawili na goli lingine lilifungwa na mchezaji wa kimataifa toka nchini Zambia Davies Mwape.Kwa upande wa timu ya Afrika Lyon goli lao lilipatikana baada ya beki wa timu ya Yanga Chacha Marwa kujifunga.

BAADHI YA MAENEO KATIKA JIJI LA MBEYA

 Jengo la zamani la cinema sasa ni kanisa maeneo ya Posta
 Hapa ni hospital ya Aga Khan na kwa mbali ni jengo la TTCL na Posta Uhindini
 Maghorofa ya NHC  kota maeneo ya Sokomatola
One way Mbalizi Road