Friday, April 8, 2011

MAKOCHA WA TANZANIA NA CAMEROON WATAMBIANA KWENYE MECHI YA KESHO U23

 Kocha wa Timu ya Cameroon na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo wakizungumza na waandishi wa habari jana.
 Golikipa Shaban Kado akiwa na kocha wa timu ya vijana U23 Jamhuri Kihwelo katika mkutano na waandishi wa habari.
 Jamhuri Kihwelo akisalimiana na kutambiana na kocha wa timu ya Cameroon.
Hapa wakikumbatiana mara baada ya kumaliza mkutano na waandishi wa habari na kuonesha ishara ya mchezo wa kiungwana hapo kesho.

No comments:

Post a Comment