Friday, January 14, 2011

DAAH! HII KALI HAPA MBEYA!!!!!!!!!

Haya jamani wakazi wa Mbeya naona kila kona ni matuta barabaran  tena ya lazima,hao wahusika wanaosababisha hivyo wanajulikana kama SOGEA SATOM,hawa jamaa wanachimba mifereji kwa ajili ya kuweka mabomba ya maji taka bila ya kuwa na vifaa vya kisasa vya kuchimbia kwa utaalamu zaidi.Mkurugenzi wa jiji upo hapooooooooo!!!!!!!