Libeneka la Malanyingi Matukuta Karibun kutembelea wajameni!!
Ndani ya hii blog tunakuletea mambo mbalimbali ya michezo burudani na kijamii na masuala ya vivutio vya utalii hapa nchini!
Thursday, April 7, 2011
VIVUTIO VYA UTALII NDANI YA MLIMA KILIMANJARO!!!
Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu kuliko milima yote barani Afrika.Watalii wengi wanapenda kutembelea kutokana na barafu iliyopo juu ya Mlima huu.
Basi fuatana katika picha hizi.......................................
No comments:
Post a Comment