Libeneka la Malanyingi Matukuta Karibun kutembelea wajameni!!
Ndani ya hii blog tunakuletea mambo mbalimbali ya michezo burudani na kijamii na masuala ya vivutio vya utalii hapa nchini!
Saturday, April 9, 2011
TASWIRA YETU JIJINI MBEYA.
Shule ya msingi Azimio ni miongoni mwa shule kongwe jijini Mbeya
Hii ni Mbeya Hotel
Enzi za kituo cha daladala cha dox eneo la Mwanjelwa.
No comments:
Post a Comment