Hali ya kisiasa mkoani Arusha imezidi kuwa tete ambapo mwenyekiti wa CHADEMA taifa amesema chama hicho kitatoa tamko kuhusu hali iliyojitokeza mkoani hupo.
Lakini tumeona pamoja na hali hiyo kiasi cha waziri wa mambo ya nchi za nje aliitisha mkutano na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini na kuwaeleza hali ya kisiasa iliyojitokeza pamojana mauaji ya watu wa tatu(3).
Je,kiongozi mkubwa wa nchi hii na mwenyekiti wa chama cha cha Mapinduzi(CCM) Mh;Jakaya Kikwete anakauli gani na tukio hilo pia na msimamo wa chama chake kuhusu mazungumzo ya muafaka wa kisiasa mkoani Arusha?
Libeneka la Malanyingi Matukuta Karibun kutembelea wajameni!! Ndani ya hii blog tunakuletea mambo mbalimbali ya michezo burudani na kijamii na masuala ya vivutio vya utalii hapa nchini!
Saturday, January 15, 2011
Friday, January 14, 2011
DAAH! HII KALI HAPA MBEYA!!!!!!!!!
Haya jamani wakazi wa Mbeya naona kila kona ni matuta barabaran tena ya lazima,hao wahusika wanaosababisha hivyo wanajulikana kama SOGEA SATOM,hawa jamaa wanachimba mifereji kwa ajili ya kuweka mabomba ya maji taka bila ya kuwa na vifaa vya kisasa vya kuchimbia kwa utaalamu zaidi.Mkurugenzi wa jiji upo hapooooooooo!!!!!!!
Thursday, January 13, 2011
Matukuta wa Ukweli
Naitwa Malanyingi Matukuta
Naishi Mbeya kwa sasa
Karib ndan ya hii Blog ya kijanja zaid
Toka kwa mkali wa Mbeya
My contacts:
matukutajnr@yahoo.com
0762 047686/0715 047686
Naishi Mbeya kwa sasa
Karib ndan ya hii Blog ya kijanja zaid
Toka kwa mkali wa Mbeya
My contacts:
matukutajnr@yahoo.com
0762 047686/0715 047686
Subscribe to:
Posts (Atom)